Thursday, January 3, 2019
Sunday, September 23, 2018
PICHA 2:BAADHII YA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJLI WALIOMSINDIKIZA HARIS LUPENZA KTK UZINDUZIHYRD
September 23, 2018
No comments
Jesca Gazuko(kulia)na Happy Milinga kushoto
Agnes Hiza(kushoto) Jesca Gazuko(katikati) na Happy milinga
Monday, March 12, 2018
Julius Mgundoy autambulisha wimbo wake mpya "Zamu Yangu" SUA fm
March 12, 2018
No comments
Mwimbaji mwenye kipaji kikubwa cha kumsifu Bwana kwa njia ya uimbaji Julius Mgundoy, ameutambulisha wimbo wake mpya "Zamu Yangu" SUA fm - Morogoro. Mungu ambariki sana. Sikiliza mahojiano hapo chini.
Monday, February 26, 2018
Sunday, February 25, 2018
Audio: Sikiliza nikiutambulisha wimbo wangu “Nioshe Yesu” SUA FM
February 25, 2018
No comments
Leo nilipata fursa ya kuutambulisha wimbo wangu wa “Nioshe Yesu” kwa mara ya kwanza. Wimbo huo wa taratibu na wenye ujumbe mkubwa ndani yake niliutambulisha kwa watanzania kupitia SUA FM – Morogoro kwa mahojiano nami kwa njia ya simu yaliyofanyika leo tarehe 25 feb 2018 saa 1:30 asubuhi. Sikiliza mahojiano hayo hapo chini.